waandishi wa enzi hizo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. NAWAONA VIJANA WANGU KAMA DANIEL E. MSHANA MWENYE AFRO (WANNE KUTOKA KUSHOTO MSTARI WA PILI NYUMA).

    ReplyDelete
  2. Duuuuuuuuu fani zingine bwana,yaani hapo sijui niseme wanawake ilikuwa asalimi ngapi,maana namuona mmoja tu.

    ReplyDelete
  3. KAka Michu kwa jinsi ninavyoi-mind fani yetu katika hiyo picha inanikumbusha jamaa aliyekaa wa kwanza upande wa kushoto wa picha anaitwa SIMBA NYAMAUME NYAUDINDIRI NYAMAMBORO FELIX. Huyo anafanya kazi RTD na ni kwa kabila lake ni MPARE, sijui kama bado ana-survive kwani jamaa anapenda sana ulabu. Give them hi, there are my brothers ktk fani.

    ReplyDelete
  4. Mbona hawa watu wanaonekana wana swiha nzuri ukilinganisha na watu wa siku hizi? Wafanya kazi wa siku hizi wanaonekaka wamechoka. kulikoni?

    ReplyDelete
  5. Yanga 2 - Polisi Dodoma 0
    Wewe unayesema unaona mwanamke mmoja hapo si kweli. Kwani wapo watatu. Mmoja kaketi mstari wa mbele na wengine wapo beneti mstari wa pili. Ilikuwa rahisi kutofautisha mwanamme na mwanamke enzi hizo, lakini siku hizi "WANAUME kama MABINTI". Nawakilisha.
    Je birthday party ya BLOG yetu itaendelea kusherekewa baada ya msiba????????

    ReplyDelete
  6. ...mfumo wa siasa ulikuwa umewalimit sana...GOVERNED...chakubanga tu ndio kidoogo alikuwa anasemasema ovyo...wasdancing to the masters tunes...now it is a different world

    ReplyDelete
  7. Ebwana michuzi hivi mwandishi aliyeketi kiti cha kwanza kutoka kushoto, mstari wa pili toka mbele ndo george seyayi aliyewahi kuwa foreign editor pale shihata? Hivi ilikuwa kwenye tukio gani hii picha?

    ReplyDelete
  8. Unaona miaka hiyo walikua wana vaa nguo nzuri kuonyesha proffessional yao sio ya mchezo. Sasa hivi wengi wako wako tu kwanza mwone mwanadada alivyovyaa nguo ya heshima.

    Hata akikupa habari utaziamini

    ReplyDelete
  9. Namtambua Winston Makamba (mwenye nguo nyeusi na miwani) upande wa kulia karibu na huyo mwanamama!

    ReplyDelete
  10. mi nimemtambua ripota benjamini mkapa tu hapo kati..teh teh teh teh teh !
    kwa lugha huyo ni noma...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...