mtoto wa tx moshi william, hassan, anafuata vyema nyayo za marehemu baba yake kwa kuimba kwa ustadi nyimbo zote za mzazi wake baada ya kuachana na mambo ya bongo fleva na kujiingiza kwenye muziki wa bendi. hapa alikuwa akiimba wimbo wa 'tuma' usiku huu klabu ya amana, ilala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaza buti dogo kama alivyokuwa dingi wako utafanikiwa,msondo mnatisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...