makumbusho ya taifa imeyahifadhi magari kadhaa yaliyokuwa yanatumiwa na mwalimu kama kumbukumbu kwa vizazi vya leo na kesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapa ni temporaty parking au ni mahali pa kuyapark haya siku zote? yalivyo nje upepo na baridi si vitayachuna magari hata miaka ijayo yasionekane tena?

    ReplyDelete
  2. Mjamaa wetu alikuwa ana jinafasi kwa ku tesa Nyumba ya kueleweka,gari za nguvu, huku tukiambia kuwa ana TV ni anasa.

    ReplyDelete
  3. wapeni hayo magari watu wayatumie na sio kuangaliwa tu

    ReplyDelete
  4. michuzi vipi ile ford cortina ya mwalimu enzi za miaka ya sitini bado ipo hapo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...