mdau una khabari kwamba hivi tunavyoongea kuna mrembo aneyewakilisha bongo kwenye mashindano makubwa ya kimataifa? basi kama umepitwa ni kwamba dada huyo anaitwa jamila munisi na khabari zake kibao na masnepu yako hapa http://www.missosology.org/ pamoja na hapa http://www.missosology.org/mi07/tanzania.html hivyo usijeshangaa ukiambiwa lolote endapo atafanya vyema kama flaviana matata.jamila atashiriki mashindano ya miss international huko japan ambako fainali zake ni hapo octoba 15
Home
Unlabelled
jamila munisi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
dada kapendeza sana ,lakini hawa kama jamila wapo wengi sana kwetu kule mchinga sema tu wanakosa matunzo mema
ReplyDeletedada kapendeza sana ,sasa mbona hajatueleza yeye ni mwakilishi wa category gani, katuambia tu mashindano yapo japani
ReplyDeletenaomba kufahamishwa kuhusu UMISS,,mana ninatatizwa na huku *KUWAKILISHWA* anakoongelea michuzi??????
ReplyDeletesasa kaka michu nimechanganyikiwa kidogo,najua kuna miss Tz,Universe na huyu atoka wapi tena na watu gani wana msponsor?na i have always being very concern na haya mambo ya mamiss na huyu sijamsikia
ReplyDeleteSi mchezo!Yuko mwake mtoto!Kila raheli.
ReplyDeleteWanatoka wapi hawa warembo kila leo?
ReplyDeleteKumbe Tanzania tumeficha warembo wengi, ila ninachomshawishi aondoe hayo marasta
Mbona anapiga MUGONGO MUGONGO kulikoni?
ReplyDelete