jeneza lililobeba mwili wa hayati salome mbatia ukiwasili uwanja wa ndege wa julius nyerere dar, leo, kufuatia ajali mbaya ya barabarani ambapo watu watatu walikufa papo hapo. habari toka iringa zinasema dereva wa lori la fuso lililoigonga nissan ya hayati mbatia hakufa na aliyekufa ni utingo wake. yeye dereva ametoweka na hadi naingia mitamboni bado alikuwa hajulikani aliko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MAY GOD STRENGTHEN THE FAMILLY ON THIS HAD TIME. MAY HER SOUL REST IN PEACE. AMEN

    ReplyDelete
  2. HAPA NDIYO UNAKUMBUKA KUWA UGHAIBNI HUYU DEREVA ASINGEKUWA MITINI HADI SASA HIVI, YAANI UUWE KIONGOZI WA GEORGE BUSH UTAKIMBILIA WAPI HAPA MAREKANI? LABDA UENDE TALIBANI. SERIKALI ITOE DONGO NENE KWA ATAKAYE TOA FUNUNU HUYU PERSONAL OF INTEREST.. HATUNA UHAKIKA KAMA NI YEYE AMEUWA AMA DEREVA WA MBATIA NDIYE ALIYE VUNJA SHERIA NA KUJALIBU KUOVATEKI AKIJUA KILA MTU ATAHESHIMU GARI LA MHESHIMIWA WAZIRI. INAWEZEKANA HUYU DEREVA KAKIMBIA KUOGOPA MAONEVU YA KILA SIKU BONGO KAMA KINA NGUZA WALIVYO FANYIWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...