
jeneza lililobeba mwili wa hayati salome mbatia ukiwasili uwanja wa ndege wa julius nyerere dar, leo, kufuatia ajali mbaya ya barabarani ambapo watu watatu walikufa papo hapo. habari toka iringa zinasema dereva wa lori la fuso lililoigonga nissan ya hayati mbatia hakufa na aliyekufa ni utingo wake. yeye dereva ametoweka na hadi naingia mitamboni bado alikuwa hajulikani aliko


MAY GOD STRENGTHEN THE FAMILLY ON THIS HAD TIME. MAY HER SOUL REST IN PEACE. AMEN
ReplyDeleteHAPA NDIYO UNAKUMBUKA KUWA UGHAIBNI HUYU DEREVA ASINGEKUWA MITINI HADI SASA HIVI, YAANI UUWE KIONGOZI WA GEORGE BUSH UTAKIMBILIA WAPI HAPA MAREKANI? LABDA UENDE TALIBANI. SERIKALI ITOE DONGO NENE KWA ATAKAYE TOA FUNUNU HUYU PERSONAL OF INTEREST.. HATUNA UHAKIKA KAMA NI YEYE AMEUWA AMA DEREVA WA MBATIA NDIYE ALIYE VUNJA SHERIA NA KUJALIBU KUOVATEKI AKIJUA KILA MTU ATAHESHIMU GARI LA MHESHIMIWA WAZIRI. INAWEZEKANA HUYU DEREVA KAKIMBIA KUOGOPA MAONEVU YA KILA SIKU BONGO KAMA KINA NGUZA WALIVYO FANYIWA.
ReplyDelete