bosi wa kitengo cha emirates uwanja wa ndege wa julius nyerere, juma, akitambulishwa jana kwenye sherehe za kutimiza miaka 10 ya huduma ya shirika hilo hapa bongo usiku kuamkia leo hoteli ya moenpik. mgeni rasmi aliuwa katibu kiongozi ikulu mh. philemon luhanjo alie karibu na juma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. POLISI HAWAKUWEPO HADI ALIUWA KATIBU
    MKUU?

    ReplyDelete
  2. Hahahaaaa, eti mgeni rasmi aliuwa katibu mkuu Ikulu. Tehetehe. Anony hapo juu umenichekesha ikabidi nirudie kusoma ujumbe wa kaka "muchuzi" nikaona eti mgeni rasmi aliua katibu mkuu Ikulu

    ReplyDelete
  3. kwa niaba ya wanafunzi waTanzania tulioko Bangalore India,kupitia BLOG HII MAAFUFU YA KAKA ISSA MUHIDINI MICHUZI,napenda kutoa salam za pole kwa Mh Rais wa JMT Jakaya M.kikwete na Serikali kwa ujumla kufuatia msiba wa Mh Naibu Waziri wanawake na watoto Mama salome mambatia na vile vile kwa Mh Dr James Mbatia na familia yake kwa msiba huu mzito,na vile vile kwa Mh spika wa bunge la JMT Mh Samweli Sita

    SISI vijana wa Taifa lakesho tunaamini kabisa mchango wake aliokuwa akiutoa kwa wananchi utaendelezwa na kuheshimika ktk kila kona ya nchi yetu ya Tanzania.

    Baraka Abdallah Kange,
    Rais Jumuiya ya wanafunzi waTanzania ,
    Bangalore,India
    Email:barakakange@yahoo.com
    +91-9886933877,+91-9886605964.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...