Home
Unlabelled
juma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
POLISI HAWAKUWEPO HADI ALIUWA KATIBU
ReplyDeleteMKUU?
Hahahaaaa, eti mgeni rasmi aliuwa katibu mkuu Ikulu. Tehetehe. Anony hapo juu umenichekesha ikabidi nirudie kusoma ujumbe wa kaka "muchuzi" nikaona eti mgeni rasmi aliua katibu mkuu Ikulu
ReplyDeletekwa niaba ya wanafunzi waTanzania tulioko Bangalore India,kupitia BLOG HII MAAFUFU YA KAKA ISSA MUHIDINI MICHUZI,napenda kutoa salam za pole kwa Mh Rais wa JMT Jakaya M.kikwete na Serikali kwa ujumla kufuatia msiba wa Mh Naibu Waziri wanawake na watoto Mama salome mambatia na vile vile kwa Mh Dr James Mbatia na familia yake kwa msiba huu mzito,na vile vile kwa Mh spika wa bunge la JMT Mh Samweli Sita
ReplyDeleteSISI vijana wa Taifa lakesho tunaamini kabisa mchango wake aliokuwa akiutoa kwa wananchi utaendelezwa na kuheshimika ktk kila kona ya nchi yetu ya Tanzania.
Baraka Abdallah Kange,
Rais Jumuiya ya wanafunzi waTanzania ,
Bangalore,India
Email:barakakange@yahoo.com
+91-9886933877,+91-9886605964.