Mimi kakere junior mdau wa Holland nawatakia kila la kheri wadau wenzangu wote ktk sikukuu hii ya Eid Mubaraka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Katoto kazuri sanasana jamani. Wazazi mpeni huyu mtoto elimu na malezi mazuri kama kenyewe kalivyo. God bless you Kakere Junior.

    ReplyDelete
  2. Hello kakere nasi twakutakia eid njema lkn mbona umefanana sana na Juma Biboze au ndio dingi wako.

    ReplyDelete
  3. na wewe pia eid njema nisalimie sana JLO wa bongo (sinta)

    ReplyDelete
  4. Hili jina linanikumbusha kale kawimbo kazuri POLE KWA SAFARI msalimie sana JUMA KAKERE mwambie tunasubili kibao cha Eid.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...