kjell bergh akiongea huo minnesota, marekani, juu ya ujio wa mradi wa hoteli, chuo kikuu, ukumbi wa mikutano na uwanja wa mchezo wa gofu ambao wafanyabiashara watatu wanashirikiana kuanzisha kaskazini ya bongo kwa kiasi cha dola milioni 100. habari zaidi za mradi huo bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Kwani kaka michuzi huyu baba hapo juu anataka nini hasa?

    ReplyDelete
  2. Wewe Anonymous October 9, 2007 4:27:00 PM EAT una maana gani anataka nini? Si anataka ku invest bongo? Kila siku tunasema tunataka wawekezaji, sasa watu wakitaka kuja kuweza mnaanza kuuliza anataka nini? Huyu ni Balozi wa Tanzania Midwest (Mtoni). Usirukie mambo usiyoyajua.

    ReplyDelete
  3. Mwulize Ben Mkapa au Mama Mkapa! Wanamjua sana huyu Consul-General wa Tanzania huko sehemu za Mid-West ya Amerika!

    Sijui kama anapokea mshahara kutoka serikali ya Tanzania.

    Si yeye peke yake aliye na wadhifa wa Consul-General hapa Amerika. kuna mwingine huko Boston, California na Houston (Texas), kama sikukosea!

    ReplyDelete
  4. "hajarukia", ameuliza tu...maana kuuliza si ujinga! wala huyu hataki kuwekeza, ila anaelezea kuhusu wengine wanaotaka kuwekeza, sasa kumbe hata wewe hujui!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...