Home
Unlabelled
kivukozzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
risk... hatari tupu not safe, hawana hata maboya ....
ReplyDeleteNdio hii ni blog yako lakini wakati mwingine unachosha sana. Sasa hii ni tekelinalokujia gani ya kujadili kama sio kuleta upuuzi?
ReplyDeleteEhee!! hiii ndio ukweli wa mambo halisi.wengine wanapeta bongo wengine wanaadhibika.Mungu saidia tufikie kileleni
ReplyDeleteNi aibu kwa nchi kama Tanzania yenye maliasili kama ambavyo tunavyo kuwa na vivuko kama hivyo,hivi viongozi wetu maeneo kama hayo wanakwenda katika ziara zao na wakapitisha magari yao ya kifahari,mashangingi ya bei kubwa katika kivuko kama hicho,nadhani sasa wakati umefika wa kuchua hatua kwa sisi walalahoi dhidi ya hawa mabeberu wa nchi hii ili maendeleo yaonekana na watanzania wafaidi matunda ya rasilimali zao.sasa hapo ikitokea ajali nani wa kulaumiwa..wabongo tuamke sasa nchi inakwisha hii.karibuni na isanzu ktk wilaya ya iramba muone vituko huko.....
ReplyDeletemmh hyo ngoma inawezekana imechapwa maana hata jamaa wanaoivusha wamepinda flani hivi...all in all its not safe kutumia hiyo dizaini sijui ngalawa au mtumbwi,kudadadeki umaskini huu utaua bendi.
ReplyDeletesasa hii teknologia ndio inaitwaje ?
ReplyDeleteMi naona hawa jamaa wanastahili kupongezwa kwa ubunifu wao. Inatakiwa siku zote kutatua matatizo kwa nyenzo zilizo ndani ya uwezo wako.
ReplyDeleteHii ni sababu kwa nini naipenda Africa! Bora tufike babaake ingekua yuropa ungesikia ooh haki za magari! Midhungu bwana wakati mwingine sio?
ReplyDeleteHatarrii! Wanaumee! Whyyy?
ReplyDeleteYou people look at that as an opportunity sio kukandia tu. vivuko vinahitajika na wajasilimali wanahitajika sasa kazi kwako. Kila siku mnalalamika hakuna opportunity bongo, Michuzi anawawekea opportunity bado mnalalamika tena. karagabaho!
ReplyDeleteMbona hamna sehemu ya kutolea maoni kwenye mtundiko wa quran tukufu? Michuzi au mtoa mtundiko unaogopa hata maoni mazuri ya kukupongoze kwa mtundiko na hivyo viunga?
ReplyDeleteAnony 11:51 Unakataa kuona picha za bongo...aibu au???? hii ndio ukweli wa nchi yako.
ReplyDeleteHao watu wakupongezwa sana ingawaje wanahatarisha maisha yao sana lakini kama Govt haioni na kuwasaidia ni vizuri wamevumbua njia ya kupeleka magari hata huko kijijini kwao.
Tungekua na hamsini (50) kama hizi tatizo la usafiri pale magogoni lingetatuliwa
ReplyDeleteI actually like this. It is living proof to show how intelligent Tanzanians can be. This means Tanzania can survive without the so called technology, all we need to do is think of ways to expand this procedure so that it can carry more than one car. I also wanted to say Maricha you're absolutely right.
ReplyDeleteKwako anonymous wa Tarehe October 8, 2007 4:15:00 PM EAT,
ReplyDeleteNIMEFURAHISHWA NA MAONI YAKO, NAOMBA NIKUNUKUU KAMA IFUATAVYO
'Mi naona hawa jamaa wanastahili kupongezwa kwa ubunifu wao. Inatakiwa siku zote kutatua matatizo kwa nyenzo zilizo ndani ya uwezo wako.'
HUU NI UKWELI KABISA, KAMA TUNATAKA KUONDOKANA NA UMASIKINI, BASI HATUNA BUDI TUJITUME NA KUWA WABUNIFU. TUWE WAZALISHAJI WA KWELI NA SIO WAVIVU AU WAPIGA KELELE ZISIZOKUWA NA TIJA.
BAADHI YA WANANCHI WALIO WENGI HUKO NYUMBANI HAWAAMINI KAMA WANAWEZA KUJIKWAMUA KUTOKA KATIKA UMASIKINI BILA YA SERIKALI KUWASAIDIA KWA ASILIMIA MIA. HUKO NI KUJIRUDISHA NYUMA SANA.
NDUGU ZETU WENGI BACK HOME WAMEJAA TAMAA SANA, WENGINE WAMEFIKIA HATA KIWANGO CHA KUTOKUAMINIKA. VIJANA WAKIINGIA KAZINI WANAFIKIRIA NI JINSI GANI YA KUMUIBIA MWAJIRI WAO. HII INAFIKIA HATA BAADHI YA WAAJIRI HUOGOPA KUWAAJIRI WATZ KWA SABABU BAADHI YAO SI WATU WAKUJITUMA NA HAWAMINIKI.
MHESHIMIWA ISSA HABARI ZA KAZI, NAONA UNATUONYESHA JITIHADA ZA WANANCHI WA TANZANIA KATIKA KUCHANGIA UCHUMI WAO. KAMA SIKOSEI TUNA BENKI TANZANIA HIVI HAWA WAHESHIWA HAWAONI KWAMBA WANAWEZA KUWEKEZA HAPO.
ReplyDelete