hakika mtangazaji nguli wa idhaa ya kiswahili sauti ya ujeremani abuobakar liongo ambaye yuko bongo likizo alikuwa na usongo sana na msondo ngoma kiasi cha kushindwa kujizuia na kupanda jukwaani klabu ya amana usiku huu kumpongeza papaa said mabera kwa umahiri wake wa kuvugumisha mpini. kulia ni hassan tx moshi william

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. WEE...huu ndio uzalendo. Sio watu wengine wakitoka nje wanajifanya msondo ndio nini!...Waneoneshe kaka aboubakar kwaba wewe sio "stuck up" man.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...