rolls royce aliyokuwa anatumia mwalimu kupokelea wageni maalumu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mwalimu was pimping back then.Cool whips

    ReplyDelete
  2. Mwizi, mbinafsi na mvurugaji.. UJIMA katuletea sisi yeye anapakia Rolls Royce, AZIMIO LA ARUSHA upuuzi mtupu, na dhulma za mali za watu..


    He never lived by example. haya ndiyo tunayoona...

    ReplyDelete
  3. anon wa pili nani kakwambia hayo maroll royce yalikuwa ni ya mwalimu binafsi,hayo magari yalikuwa ni ya sirikali.Acha chuki.

    ReplyDelete
  4. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakimponda mwalimu kwasababu ambazo hazina kichwa wala miguu.90% ya hao watu walikuwa hawajazaliwa wakati waheshimiwa wanakomboa nchi,kwahiyo ni bora kunyamaza tu.mwalimu alikuwa ni mtu wa aina yake kwa kweli.we dearly miss him.let his soul rest in peace.

    ReplyDelete
  5. Anonymous wa October 14, 2007 6:44:00 PM EAT, kuna baadhi ya vijana humu bloguni wanaofikiria kuwa Tanzania ilizaliwa baada ya vyama vingi 1985!

    ReplyDelete
  6. WAGENI WENGI WANGEFURAHI SANA KULIPANDA HILO LOLLS ROYCE WAJPO TANZANIA BADALA YA KULIWEKA KIBANDANI, FAIDA IKO WAPI KWANI HATA SISI WATANZANIA HATULIONI NA TULIKWISHA LISAHAU KAMA LIPO. TUKILIONA TUTAMUMBUKA NYERERE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...