aboubakar liongo hana mbavu kwa msisimko baada ya mpenzi mmoja wa msondo ngoma kuleta zawadi ya mbuzi kama mkono wa iddi kwa bendi hiyo ikiwa ni ishar pia kwamba baba wa muziki si mchezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwani huyo Liongo si mulisemaga yuko Sauti ya Ujerumani vile!?
    Amerudi kwa sikukuu au amepigwa kibuti?

    ReplyDelete
  2. doo mjomba Abuobakar yaani sikutegemea kukuona na msondo ingawa shule ulikuwa shabiki mkubwa,e bwana ee,mungu akuzidishie ndugu yangu.maanake huku kwa mbaaali nausikia kidogo sondongoma. frm Andrew neri.

    ReplyDelete
  3. Hallow Mwaduga
    Naona unakula Raha za bongo peke yako sisi huku umetuachia Baridi.
    Husisahau kutuletea midundo ya Baba ya muziki ukirudi.
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...