oktoba 30, 2006: kwa wasiomfahamu mo ibrahim, msudani mwenye uraia wa uingereza aliyetoa tuzo kwa rais bora wa afrika, ndiye huyu ninayepozi naye huko kwa watani wetu wa jadi mwaka jana mwezi kama huu, siku nne baada ya kuzindua mfuko wa hizo tuzo. kwa wasiofahamu huyu ndiye kibopa aliyekuwa anamiliki kampuni ya celtel kabla hajaipiga bei. kwa habari zaidi juu ya mo ibrahim na hiyo tuzo kwa maraisi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. KAKA MBONA HIYO OCTOBER 30,2007 HAIJAFIKA???LOL

    ReplyDelete
  2. Kaka michuzi hapo umenikosha
    kwa wale walokwambia ati T-shirtx2
    sasa wameelewa,
    Lakini inaonekana upo bize sana ebu cheki hiyo Tarehe!!
    Kagaruki

    ReplyDelete
  3. kaka mithupu kwa misifa!hujambo.na hiyo tarehe vp au umekurupuka usingizini ukakumbuka hiyo picha ado ado mzee.

    ReplyDelete
  4. Kwani tarehe ina matatizo gani hapo? Siwaelewi nyie ma-Anony hapo juu! Michuzi anaongelea mwaka jana mwezi kama huu. Hajasema tarehe kama hii. Na tarehe iliyotajwa ni 30 Oktoba 2006. Nafikiri hakuna tatizo na tarehe, labda kama mna yenu.

    ReplyDelete
  5. what is wrong with the date? to me it reads 30 October 2006!

    ReplyDelete
  6. Nyie ndio mmekurupuka,Michuzi anamaanisha oktoba 30 mwaka jana

    ReplyDelete
  7. dah, bw.Michuzi kila movie stelling ni wewe? Sasa Umekuwa kama Oprah maana Oprah lazima ajiweke front page kwenye magazine yake,bila hivyo magazine hazichapishwi.Ina maana hakuna wengine wa kuwekwa humu ila ni wewe tu?

    ReplyDelete
  8. Bro Michu si mchezo nakuaminia..huyo kakuachia mivumba iko siku na wewe utatoa tunzo kwa mawaziri wakuu wastaafu bora.endeleza libeneke piga picha kama njugu.mdau Holland

    ReplyDelete
  9. asante kwa info khs mo!
    mweme.

    ReplyDelete
  10. Uncle Michuzi usiwe na wasi siku utatoka tuu

    ReplyDelete
  11. MICHUZI HUYU BWANA MIMI NILIKUWA NAYE MINNESOTA ALIKUWA ANABEBA SANA BOX WAKATI TUKO COLLEGE BUT HE WAS VERY SMART WEWE MWAMBIYE KAMA ANAMKUMBUKA SMASHER HILO NDIYO JINA LANG LA UTANI KIPINDI HICHO LAKINI NI SIKU NYINGI KALIBU MIAKA 31 SASA IMEPITA KABADILIKA KIDOGO ILA SURA BADO IKO VILE VILE TULIKUWA TUNAMWITA MSOMALI PALE TWIN TOWERS. MPE FIVE MR MO.

    ReplyDelete
  12. HABARI ZA LEO ISSA ..HABARI ZA KO NZURI ISSA NASIKIA UMESHAPANDA MBEGU..TUNAHESABU MIEZI TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...