oktoba 30, 2006: kwa wasiomfahamu mo ibrahim, msudani mwenye uraia wa uingereza aliyetoa tuzo kwa rais bora wa afrika, ndiye huyu ninayepozi naye huko kwa watani wetu wa jadi mwaka jana mwezi kama huu, siku nne baada ya kuzindua mfuko wa hizo tuzo. kwa wasiofahamu huyu ndiye kibopa aliyekuwa anamiliki kampuni ya celtel kabla hajaipiga bei. kwa habari zaidi juu ya mo ibrahim na hiyo tuzo kwa maraisi bofya hapa

KAKA MBONA HIYO OCTOBER 30,2007 HAIJAFIKA???LOL
ReplyDeleteKaka michuzi hapo umenikosha
ReplyDeletekwa wale walokwambia ati T-shirtx2
sasa wameelewa,
Lakini inaonekana upo bize sana ebu cheki hiyo Tarehe!!
Kagaruki
kaka mithupu kwa misifa!hujambo.na hiyo tarehe vp au umekurupuka usingizini ukakumbuka hiyo picha ado ado mzee.
ReplyDeleteKwani tarehe ina matatizo gani hapo? Siwaelewi nyie ma-Anony hapo juu! Michuzi anaongelea mwaka jana mwezi kama huu. Hajasema tarehe kama hii. Na tarehe iliyotajwa ni 30 Oktoba 2006. Nafikiri hakuna tatizo na tarehe, labda kama mna yenu.
ReplyDeletewhat is wrong with the date? to me it reads 30 October 2006!
ReplyDeleteNyie ndio mmekurupuka,Michuzi anamaanisha oktoba 30 mwaka jana
ReplyDeletedah, bw.Michuzi kila movie stelling ni wewe? Sasa Umekuwa kama Oprah maana Oprah lazima ajiweke front page kwenye magazine yake,bila hivyo magazine hazichapishwi.Ina maana hakuna wengine wa kuwekwa humu ila ni wewe tu?
ReplyDeleteBro Michu si mchezo nakuaminia..huyo kakuachia mivumba iko siku na wewe utatoa tunzo kwa mawaziri wakuu wastaafu bora.endeleza libeneke piga picha kama njugu.mdau Holland
ReplyDeleteasante kwa info khs mo!
ReplyDeletemweme.
Uncle Michuzi usiwe na wasi siku utatoka tuu
ReplyDeleteMICHUZI HUYU BWANA MIMI NILIKUWA NAYE MINNESOTA ALIKUWA ANABEBA SANA BOX WAKATI TUKO COLLEGE BUT HE WAS VERY SMART WEWE MWAMBIYE KAMA ANAMKUMBUKA SMASHER HILO NDIYO JINA LANG LA UTANI KIPINDI HICHO LAKINI NI SIKU NYINGI KALIBU MIAKA 31 SASA IMEPITA KABADILIKA KIDOGO ILA SURA BADO IKO VILE VILE TULIKUWA TUNAMWITA MSOMALI PALE TWIN TOWERS. MPE FIVE MR MO.
ReplyDeleteHABARI ZA LEO ISSA ..HABARI ZA KO NZURI ISSA NASIKIA UMESHAPANDA MBEGU..TUNAHESABU MIEZI TU
ReplyDelete