
wanja letu la zamani la neshno linakaribia kuanza kutumiwa kufuatia kumalizika kazi ya kutandika nyasi bandia. jana tff imetangaza kwamba wamepanga uanze kutumika kwenye mzunguko wa pili wa ligi kuu inayoendelea ambapo klabu za dar zitautumia kama wa nyumbani

mchanga na aina ya vipira vilivyoagizwa toka nje na kuwekwa juu ya wanja la neshno kufanya nyasi bandia zikae na kutumika vizuri. inasemekana nyasi hizo bandia zitadumu kwa miaka 15
mnajitahidi kutulazimisha turudi,na picha za bongo.Well keep it up,may be it will work.I can't leave totos in miami man
ReplyDeleteNyasi za kawaida zinadumu milele..kwanini tunatumia hizi nyasi bandia wakati mungu ametujalia nyasi kibao? Miaka 15 halafu tunanunua za mamilioni tena? Huu ni ujinga mtupu.
ReplyDeleteHii Ndio Bongo Land Mchanga wenye DHAHABU unapelekwa Njee ya nchi,Nyasi bandia na mchanga wake usio na Faida tunauziwa Bongo,Ha hahahahahaha Wajinga ndio waliwao Kumekuchaaaaaaa
ReplyDeletesasa hapo inabidi wafadhili wanunue buti za kchezea kwenye hilo turf.Gharama juu ya gharama
ReplyDeleteNauliza huu mchanga una vitu gani hadi utolewe nje? kwani sisi hatuna mchanga?mmh!!! hehehe jamani kaazi ipo mbona
ReplyDeleteanon wa October 3, 2007 11:05:00 AM EAT
ReplyDeletetotoz zipo huku we si unaona tuna mamiss mpaka wa kiasia"patel ni bomba sana wewe unakula "vikongwe" huko miami mpaka lini?utazeeka?we haya we!