ka-dau salma hamidu baada ya kula nondozzz yake St Mary's Academy kutoka pre unit kwenda grade one hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hongera Salma!nakutakia kila la heri katika maisha yako kielimu

    ReplyDelete
  2. mdau kachoka baada ya kupokea nondo yake ,hhehe

    ReplyDelete
  3. Haya masihara sasa....

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Salma,
    Nakupongeza kwasabu wengine hapa hatujawahi kuudhuria mahafali yoyote ya elimu zetu.
    Huwa najiuliza kwanini inatokea kila mahafali yangu nakosekana.

    ReplyDelete
  5. HONGERA MDOGO WETU SALMA.UNAONEKAN UNA USO WA MATUMAINI,USO UNAOASHIRIA MAFANIKIO KAMA UTAPATA ''SUPPORT'' YA KWELI.NA SISI WADAU TUNAKUOMBEA BARAKA KATIKA KILA UTAKALOLIFANYA.MUNGU AKULINDE NA AKUJALIE SALMA.
    SAMEER-ATHENS

    ReplyDelete
  6. Tunawapa wakati mgumu sana watoto wetu kwa kuwapa mambo yanayowazidi umri wao kisa USASA wetu!Nafikiri hizo mbwembwe za kuwafanyia mahafali yanayowazidi kimo ziachwe na tuwe makini katika kuwapatia elimu ya maana sio kuji faharisha.Ebu mwaangalie Salma alivyochoka!

    ReplyDelete
  7. Wewe Michuzi unaboa sasa, hata nondo za vichekechea unatuwekea hapa.

    ReplyDelete
  8. WALE WANAOPENDA SANA MAJOHO HAYA HAYOOOOOO, BONGO MPAKA CHEKECHEA...HUKU ULAYA NYINGINEZO HATA MASTERS HAWAVAI MAJOHO.....

    ReplyDelete
  9. NYINYI WOTE HAMJUI KUSOMA ''BODY LANGUAGE'' LABDA SAMEER NDIO AMEONA
    ''FACE OF HOPE'' HUYO MTOTO HAJACHOKA KAMA MNAVYOFIKIRI ILA ALIKUWA ANAOGOPA PICHA YA PEKE YAKE
    UNAJUA WATOTO WAMEZOEA KUPIGWA PICHA NA MAMA,BABA,AU NDUGU.SALMA HAJACHOKA WALA NINI.ACHENI UZUSHI WENU.THANKS SAMEER UNA COMMENT POSITIVE SANA MWANA.HALAFU ANON MMOJA ETI ANASEMA...HUKU ULAYA HATA MASTERS HAWAVAI MAJOHO.MBONA ULAYA KUNA WATU HUKAA UCHI WA SUMMER UNATAKA TUFANYE KAMA ULAYA KILA KITU.SISI HATUKUJALIWA AKILI NA MAARIFA AU? SIO KILA KITU ULAYA ULAYA.EUROPE IS NOT OUR REFERENCE.
    JOSE-OSLO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...