Home
Unlabelled
sanamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mimi na ombi moja kaka michuzi,je kuna uwezekano wa kupatikana hotuba za mwalimu mtandaoni ukinasaidia hilo umenimaliza,ni hilo tu,asante
ReplyDeleteB3
Hakuna hata kimoja cha maana alichokileta chenye manufaa kwa nchi, zaidi ya ukiritimba wa Siasa za Ujima, mwelekeo wake haukuwa na msingi wowote.
ReplyDeleteTumenyanyasika kiuchumi, kielimu na kila sekta muhimu munayoifahamu.
Tumekula Yanga chungu, maduka ya UShirika, Azimio la Arusha(Squandering of peoples wealth).. Sasa tunaanza upya kwa jamii ambayo kizazi baada ya kizazi still inaathirika na fikra zake.
Hakika kama angekua madarakani, nisingeweza kufikia hapa nilipo mimi mwenyewe binafsi.
Kutokana na elimu ndogo na ujinga mkubwa uliyoikumbuka TAnzania, hususan viongozi wetu wa leo, ndio maana hatufikii popote, fikra zetu zimefungwa kutokana na kasumba na Siasa mbovu za JK Nyerere.
Yapi na mazuri munayojua nyinyi, Hakuna hata moja, mtu kumiliki passport ilikua marufuku katika kipindi chake, TV alikua anaangalia yeye tu.
Alikua ni mjinga wa fikra na mawazo. Leo hii vijana wenye fikra mpya na mawazo mapya ndio wanaiongoza Rwanda, na katu kwa siasa hizi wazee wa zamani kushikilia nchi katu hatutoweza kufika popote pale.
Zaidi kunyanyasika kifikra, kimawazo na kielimu kama tunavyonyanyasika sasa.. Waekezaji wanasquander mali zetu kutokana na kutokuwa na viongozi imara wenye mwelekeo ulio bora wa nchi, kwa sababu gani ?? You tell me, kwa sababu ya kushikana na fikra za JK.. Someone has to break loose turidu pale mwanzo baada ya kupata UHURU.. Maondeleo yalikuwepo..Huyu JK kakiwasha tu .. Hamna lolote la maana alilotuletea, na athari kubwa kama mkizidi kung'ang'ania fikra zake ndio zituelekeza pa zuri..
LAzima mutakuwa day dreaming.
Imekua sifa nyingi tu, hasara chungu tena, nchi imeingia umaskini usiokua na mipaka, mpaka anaachia madaraka. wamefail in all counts, He is guilty of incompentence katika madaraka, kupotosha watu, mpaka hii generation tuliyokuwa nayo, tunaathirika kwa hilo..
Waganda, Wakenya, Warwanda na hata waburundi wanasonga mbele katika nyanja mbali mbali za kimaendeleo, sisi tuko wapo...UMASKINI WA KIFIKRA NA MWELEKEO..
FIKIRI! FIKIRI!