soda na chipsi huliwa kwa wingi siku za sikukuu. hakika hali hii inatia hasira kwani kuna haja ya halmashauri za wilaya na mkoa kubuni mbinu za kuwawekea wadau sehemu za kufaidi kodi zao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ..hivi wewe mithupu hata kama wakiweka hivyo vitu unafikiri kutakuwa kuingia ni bure?we kaaga bao hamna kitu cha bure dunia hii,hali itakuwa ni hiyohiyo watotowa walala hoiwatakuwa wanachungulia getini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...