Home
Unlabelled
teki awei
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wapi huko take away kwenye magazeti?
ReplyDeleteyoo michu hii take away iko wapi maana sina kimwana wa kunichopokea mahanjumati so naomba unifahamishe iko wapi hii take away.
ReplyDeleteaisee kaka michuzi hii takeaway imeenda shule.....duhh hapa natamani hilo sambusa na andazi na chai ya maziwa uwiii i do miss hme for sure...lynn
ReplyDeleteNi Ngazija au Dubai huko!
ReplyDeletehapo ni mwendo wa kula rangi inayochapisha magazeti kwa kwenda mbele. Kwa mtaji huu kansa zitatuacha kweli?
ReplyDeleteapo ni zenji, ila jamaa anaonekana ana presha naona nakidonge kiko pembeni
ReplyDeleteJamani mnatutesa tulioko Ughaibuni...hilo andazi limenimaliza nguvu....sijui kama vitumbua vinapatikana wapi jamani chai na mikate nimechoka...!!
ReplyDeleteFaza unimepeleka mbali.
ReplyDeleteMiaka ya 80, magomeni mwembechai mambo ya bagia, vitumbua na sambusa. Inaonyesha take away yetu pia ilianza zamani. Juu ya izo rangi na cancer wengi tumepitia huko.
Ughaibuni jamani sambusa na maandazi yapo. Hata Poland nimeyakuta. Ila vitumbua sijaona. Labda tuimport kwa FedEx?
Blackmpingo
Jamani vitumbua vipo kiwanya(America).Tumekula sana hata ukuulizia watu popote America watakuambia vipo..Sisi tupo Texas na kila sherehe vitumbua, kalmati, maandazi, sambusa, mihogo,majani ya maboga, bamia, freshi n.k vipo..Labda bro michuzi ungesema hayo maandazi mbona yamenywea hewa...?
ReplyDeleteNaona Take-Away na Dawa ya tumbo juu. Hizo sambusa zimechacha nini?
ReplyDeleteSasa kaka hiyo take away nakubali kabisa inalipa na kuhusu wino wa kuchapisha maandishi kwenye gazet tumeula sana kuanzia kwenye maandazi, vitumbia, sambusa na hata mihogo ya kukaanga na kuchoma vyote tumekula. SWALI LANGU JE HICHO KIDONGE HAPO PEMBENI NI CHA NINI NA HICHO KICHUPA CHEUPE PIA NI CHA KAZI GANI?!!##@%%$&^%
ReplyDeleteVitumbua, mandazi na sambusa zote zipo USA sijui wanaouliza wanaishi wapi?
ReplyDeleteHicho kidonge labda vitamin
Duh! Jamani sio wino tu, hilo gazeti limeshikwa na watu wangapi, limeanguka mara ngapi?? Limepitishwa wpi na wapi sasa ndio ujumlishe na wino wa magazeti. Kwa kweli ni Mungu tu anatulinda mana.....mh!
ReplyDeleteNyie mnajidai wino, sijui limeshikwa na watu wangapi...mbona nyie hamkufa wakati huo au mmesahau kuwa mlipitia hizi? Ukiwa bongo immune system ipo strong hata maji ya mferejini hayakuumizi tumbo lakini kaa miaka miwili huko alafu uende ujidai unakunywa maji ya mtoni uone cha moto.
ReplyDeleteHizi ndio picha zinaonyesha the real life ...manake wengine wanasahau mapema...jamani tusisahau tulikotoka.
Bwana misupu,hii tekiawei CHIBOKO kweli.
ReplyDeleteTEKI AWEI INAKWENDA SAMBAMBA NA MATIBABU HAKUNA UHAKIKA MATOKEO YAKUWA BILABILA AU MTU ATAPIGWA BAO.
ReplyDelete