Adam shaaban kawawa na Hussein Muhdin nao wanatoa salam za Eid kwa wote...

mzee wetu simba wa vita rashidi mfaume kawawa akiwa london anatuma salamu za iddi kwa wadau wote kwa kuwatakia afya njema na amani akiwa na mkewe, wasaidizi, watoto na wajukuu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Adam na Hussein mwafanana na Babu yenu haswaa iyo MIDOMO!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...