njia na barabara za mji mkongwe wa bagamoyo zinakarabatiwa kuufanya uwe tambarare...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. wanaharibu nature

    ReplyDelete
  2. Bro Michuzi, ni bwagamoyo au Bagamoyo, weka uchi uniondolee utata kaka!!!

    ReplyDelete
  3. Yesu na Maria kwa kweli haijapata kutokea kabarabara kakajengwa kama hivyo babaangu! mimi hata kilatu ya kuvalia hapo sina.

    ReplyDelete
  4. jamani mitaa ya kwetu nilipokuliaa.......hadji manara upoo??unapakumbukaa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...