jide akiimba na nyota waziri wa njenje kwenye shoo ya huko nyuma. nenda www.bongocelebrity.com upate mwandani wa binti machozi huyu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michu vipi! Tumuchoka na huyo Jide mbona unampamba sana, kunanii?

    ReplyDelete
  2. ANNO WA KWANZA THIS MSG IS 4U:Why you don't like to on your behalf? maana mimi binafsi namfagilia sana Lady JD, Kuliko wanamziki wote wanawake wa bongo Flava! kama wewe umemchoka ukiziona habari zake zi skip itakusaidia sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...