Home
Unlabelled
kampani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ha-ha-habari ndo hiyo, yeyooo!!! hayo ndo mambo AY. komaa uingie kwenye soko la kimataifa manake unaweza
ReplyDeleteHahahaaaa namwona Binamuuuuu the Don himself na Mr Misifa wanawakilisha. Bongo kuna talent lakini hawa vijana mpaka leo hawajaweza kwenda kimataifa, ninachomaanisha sio East Africa, nje Africa kabsaaaaa.
ReplyDeleteUkiangalia AY yeye kwenda kwa wifi zetu Kenya na Uganda ndo amefika, ni kweli sio mkali lakini namheshimu kwa kujenga jina lake East Africa.
MwanaFa huyu bwana ninaheshimu mashairi yake, ni mkali ktk lyrics, namshauri sasa atunge albamu moja tuu ya kiingereza. Kisha aendelee na nyimbo zake za kiswahili.
Haya sasa nakuja kwa Mr Misifa, hapa ni talent iliyokosa manager wa nguvu na sio wa kutoka bongo. Kwanza kabsa atafute manager nje ya Africa halafu aingie full shangwe katika reggae dancehall riddims, achukue beats zinazotoka kila siku Jamaica, awe anatunga nyimbo hata akiweza aimbe kwa English. Kila siku kina Sizzla, Jah Cure, Morgan Heritage na kadhalika wanafanya vitu vya uhakika.
Sababu moja Bongo Flava haisikiki kimataifa ni lugha, kina 2Face wamefika mbali ni kwa sababu ya English. Sasa muda umefika kwa hawa wana bongo flava kuanza kuimba kwa kiingereza angalau albamu moja wapige kwa kiiengereza kwa ajili ya INTERNATIONAL MARKET.
Haya Michu wape habari hii walengwa!