
bei ya madafu kwenye maduka ya binafsi leo. kwa orodha kamili nenda www.dailynews-tsn.com utakuta chati ya benki kuu
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mi mbn celewielewi hv...mara dollar ya Canada iko juu...saizi naona ya marekani iko juu tena...kwan vp?! kuna wakunisaidia juu ya hili?
ReplyDeleteHawa wenye haya maduka waache kuipigia debe $$$ ya bush ambayo ipo chini na ya kanada waendane na hali halisi ya dunia ya sasa.
ReplyDeleteKwa kukusaidia tu anon wa kwanza kabisa
ReplyDelete$$ ya Canada kwa sasa ndiyo ipo juu kidogo for like couple of weeks now
kwa hiyo maduka yote ya kununua fedha yanatakiwa kwenda na wakati.
Nyie mnaohoji bei za US$ na CAN$ mnasahau kuwa bei hutegemea supply na demand. Ukiwa unaishi Marekani utanotisi kwa haraka sana mabadiliko ya bei kati ya dola za Marekani na Canada. Hata hivyo hapa Bongo dola ya canada bado haina deal. Sio watu wengi wanaoitumia ukilinganisha na dola ya Marekani ndio maana dola ya Marekani bado iko juu
ReplyDelete