msasani bichi jioni hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Duuuh!!!!! Yaaaaani i cant wait till i go home again. Maisha nyumbani jamani. Shida,dhiki,umasikini,
    utajiri,kuchafu,kusafi,umeme,maji akuna, au maji yapo...hivyo vyooote havinitishi sbabu maisha ni nyumbani. Also home is home wether its poor or rich. Soon as i get my education...im takin next flight to dar! Chips na mishkaki..yummmy aaaaah nimepamiss msasani beach.

    ReplyDelete
  2. Hapo ni kijiwe chetu mimi na "Sure Boy",those times 1986, Ushindi primary school pipo hoyeeeeee.
    Ahsante sn michuu!!
    AMK.

    ReplyDelete
  3. Wow! miss home. Yummy yummy mishkaki ya Saidi. Msasani beach jamani naughty naughty days! I miss home and Inshallah tutafika nyumbani na sisi pia.

    ReplyDelete
  4. Ha haaa! Du Kweli uzuri wa Blog hii ni uhuru wa Mawazo. Lakini ingeleta raha sana tuwe tunarudi kwenye Mada ama issue amabayo imeibuliwa ili tujenge hoja na tutumie Blog kuleta maendeleo sio michapo tu.

    Namuunga mkono bwana Michu ama mtu aliyeleta picha hii ya KCB na kutoa changamoto kwa CRDB na taasisi nyingine zenye mitaji kutoka nje ya mipaka ya Tz (especially EAfrica). Kwa taarifa tupende tusipende East Africa is going to be one , one day. By-then kama ndo tutakuwa tunatoka usingizini wenzetu watakuwa washa fika mbaliii. Kwahiyo watanzania TUAMKEEEE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...