wadau naomba nitoe tahadhari kwa yeyote atayepata email kama hiyo chini ambayo ni ya kitapeli na imeshawaliza wengi kwani ni wale matapeli wanaotafuta anuani za watu wanaotumia gmail ili wawahujumu.
Dear Account User,
Due to the congestion in all G-mail users and removal of all unused OldAccounts, G-mail would be shutting down all unused Accounts, You will have to confirm your E-mail by filling out your Login Info below afterclicking the reply button, or your account will be suspended within 24hours for security reasons.
* Email : ......................................................
* Password : ......................................................
* Date of Birth: ......................................................
* Country Or Territory : ......................................................
After following the instructions in the sheet, your account will not be interrupted and will continue as normal. Thanks for your attenti onto this request. We apologize for any inconvenience.
Warning!!!
Account owner that refuses to update his or her account before twoweeks of receiving this warning will lose his or her accountpermanently.
Thank you for using G-mail
Warning Code:VX2G99AAJ
G-mail Team

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. wa nigeria hao...jamaa wana akili za kuatafuta pesa hao, cjui c 2lichelewa wapi??? jamaa wako kila pande ya dunia!!!!

    ReplyDelete
  2. Baada ya muda mrefu ndo leo unatuonesha jinsi gani wa-Nigeria walivyokuliza kwenye blog yako!! Teheheheheh Pole sana!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...