Home
Unlabelled
amiri jeshi mkuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mimi nilikuwa na suala hili,
ReplyDeleteJe uwanja wa Taifa ambao umewekwa nyasi bandia hivi karibu sio tena uwanja wa majeshi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma?ambapo walizuwia hata mechi za kufanyika pale kwa vile walikuwa wakitumia kufanyia mazoezi na hata sometimes kupitisha vivaa vizito vya kivita uwanjani hapo,je na ule uwanja mkubwa wa taifa pia ni wamajeshi?
Ngoma 46 tumeshakata swali ni lilelile lilivyokuwa 1961, tutafika??? Na kikubwa zaidi tuendapo ni wapi, tunaendaje na ushahidi wa kwamba tunaenda sawa ni upi?!?
ReplyDeleteMungu Ibariki Tanzania na Watu Wake....
Bwana Misuspu,naomba ku ku ask ze question as follows,
ReplyDeleteje nu UHURU WA TANZANIA AU TANGANYIKA? TV zetu za bongo zimekuwa zikitu confuzi confuzi,zinasema Miaka 46 ya UHURU WA TANZANIA.Sasa which is which? Please answer ze my question for me.
Mimi ninawazo binafsi, kwani ifikapo tarehe za kusherehekea sikukuu za uhuru au nyingine zinazoendana na hii, inakuwa siku ya mapumziko. Na serikali(viongozi wa serikali) wanajimwaga uwanja wa taifa au mnazi mmoja na kwingineko. Na hapo baada ya gwaride, hotuba na kadhalika wanakwenda kujichana, au sio?. Je sisi walalahoi tunaoambiwa tukapumzike majumbani tunajichana nini, tunajihisije tukiwa majumbani kwetu? Kuna vibarua ina maana siku hiyi imekwenda kapa, tupo wala vumbi, kima cha chini na wengineo kwa ujumla.
ReplyDeleteWazo langu, serikali na waajiri, ili sherehe kama hizi zifane, basi kuwe na kuwezeshwa kwa namna fulani kwa wafanyakazi wao, angalau wajisikie na wao wapo kwenye sherehe hizi. Hata kama ni nusu mshahara ingesaidia kuliko mtu kukodolea televisheni ukimeza mate, huku tumbo linanguruma kwa njaa, Ni wazo binafsi tu. Sijui wenzangu mnasemaje?
jamaa hapo juu mla vumbi kweli kanichekesha kweli inamaana hayo mambo umeyapitia au unayo njaaa ukimeza mate uku tumbo linaunguruma utakula vumbi na udongo na bado nyie wala vumbi na kufulia sabuni ya magwanji,vumbi oyeeeeeeeeeee
ReplyDeleteAnon wa kwanza hapo juu, uwanja wa taifa ni kwa ajili ya sherehe za taifa!
ReplyDeleteHiyo picha hapo juu ni ya uwamja wa Dodoma!
Ama kweli lakuvunda halina ubani, na masikini akipata...naogopa hata kusema. Wewe Anonymous Tarehe Monday, December 10, 2007 3:03:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Umesahau ulikotoka sio. Ni kweli sio siri wengi wa Watanzania ni hali ngumu, labda wewe mwenzetu umetokea kwenye familia ya matawi ya juu ndio maana huijui njaa. Tunakuombea uendelee kubeba maboksi, ili usije kurudi huku na kula mavumbi kama sisi. Au ukirudi hutalikuta vumbi? Vumbi is there to stay...sijui kama yatakuja mabadiliko ambayo yataliondoa hili vumbi, na sabuni za nini vile...hahaha. ama kwelimasikini akipata....
ReplyDelete