kilimanjaro staaz wanaandika bao la kwanza kwa mkwaju wa penati katika dakika ya ishirini mfungaji akiwa mshambuliaji hatari nizar khalfani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hi Michuzi, naomba umpige picha Mike Chuma halafu um post hapa, mana nataka kumjua , nimemsikia sana kuwa ni mchezaji mzuri na sijapata bahati ya kumuona.

    ReplyDelete
  2. gooo!!! READING 3 - LIVERPOOL 1, kwa hakika matokeo haya yatamnyong'onyeza MUHIDIN ISSA MICHUZI.

    Nadhani matumaini yako yalikuwa kwamba READING wangebana kisha wakaachia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...