vijana wa halaiki wakiimba 'tanzania, tanzania, nakupenda kwa moyo wooooteeee

...'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa kila nchi zilizoendelea kisoka zinakuwa na wimbo maalumu wa kuhamasisha wachezaji uwanjani wakati wa mechi hasa zakimataifa,

    huu wimbo hapa wa Tanzania,Tanzania,nakupenda kwa moyo wote,pamoja na anthem ya Taifa,kuwasha mwenge na kuuweka kilimanjaro,itakuwa si nyimbo nzuri sana wakati mashabiki wetu watakuwa wakiimba kwapamoja ilikuhamasisha wachezaji pale uwanjani,kama itakuwa vizuri kushirikishwa waimbaji wote wa bongo nakutoa nyimbo hizi kwa pamoja na sauti moja ili washabiki wa soka waweze kufatisha sauti za nyimbo hizo kama vile ambavyo wataalamu wa muziki hapo nchi watapanga ni sauti gani zitumike ili kuzipamba zaidi nyimbo hizi na kuwatia kiwewe wapinza wakati wakija hapo National stadium

    ReplyDelete
  2. Kweli Tanzania nakupenda kwa moyo wote...isipokuwa haya ni maneno matupu tu... kwani nikipata opportunity nitakimbilia ulaya au marekani kwa sababu nazipenda sana dola na vizungu!!!!

    ReplyDelete
  3. jamani mbona hizo saluti kama salamu za Hitler?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...