jana wadau wa imarati walikosa raha kama tulivyokosa wa bwawa la maini juzi. asante midozboro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. bro michuzi vipi sasa kuhusu mshindi wa utabiri wetu wa wana imarati na man u?

    ReplyDelete
  2. Hiyo mijezi ya njano si muda mrefu mtaitupa,mlikuwa mnaongea sana kuhusu chelsea sasa ndio zamu yenu inaonekana mmesahau ile methali kuwa mwenzako akinyolewa? Pole Michuzi kwa kukosa raha hata mimi nilikuwa hivyo siku za nyuma na sasa tambalale kiaina mdau wa chelsea!

    ReplyDelete
  3. Brother Mithupu eeeh hiyo mijethi inaumitha macho. Poleni sana kwa kukosa raha lakini nataka Sunday mpate draw... huku sisi watoto wa stamford bridge tukiendelea kuwakosesha raha hao wanaojifanya wanajua kulitandaza gozi. chelsea...chelsea..chelsea..chelsea...chelsea...chelsea

    ReplyDelete
  4. Kaka hongera kwa kumpiga yule kibonde nne na kupata nafasi ktk Champions ligi dau lilikuwa linazama mkuu! mdau wa chelsea

    ReplyDelete
  5. Wewe kaka mithupu usiwe na shaka...mimi nipo na wewe jumapili wakati sisi tukiwachinja Chelsea na kuwaachia nyie m-deal na maini yenu kutoka kwa Manchester....watatukoma hawa jamaa....msimu wetu Arsenal na liverpool

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...