Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aise Kamouse unajitafutia balaa na hii inji yetu ya Katanzania - kwa kweli sina mbavu mie - BIG UP KIJANA
ReplyDeleteHii ni katuni ya kitoto. Richard wa Big Brother sio maarufu kiivyo kwamba anaweza kuhusishwa na Richmond.
ReplyDeletenjaa tupu!
ReplyDeleteNadhani huyo bwana anashindwa kulinganisha matumizi ya kila siku ya
ReplyDeletehuko alipo na tz. Tanzania ukiwa na mshahara wa 500000tshs unakutosha kula ,kupeleka watoto shule na kubembea jioni.
Kwa taarifa yako Tz watu wanaishi kama vile wako mtoni wenye elimu yao
Lakini unatakiwa uchape kazi
Kama ni kibarua bora kuwa kibarua huko ulipo, lakini kama ni skilled/proffessional nakuhimiza njoo Tz kuzuri.
Duh, hii kali!!
ReplyDeleteSadoti unaongopa!mie nimeondoka bongo 1998 naka mshahara nilikuwa napata nearly tsh.350,000 bado maisha nilikuwa nayaona magumu kweli.sanasana nilikuwa nakunywa bia everyday lakini maendeleo nil.Sema usemalo sirudi kula VUMBI.
ReplyDeleteWe anony wa Wednesday, December 5, 2007 1:31:00 PM EAT, kama hujui kitu u beter shut your mouth au ukauliza kwanza sio kukurupukia mambo tu, kwa wale wajanja nafikiri wameshajua kwa nini kimouse kaandika Richard,, na jambo lipo wazi sana sasa we anony unayeona hiyo katuni ni ya kitoto basi jaribu kuuliza kwanza na ukishapata jibu8 njoo upost comments zako upya.
ReplyDeleteanonymous wa thursday December, 6 10.02 AM jambo haliko wazi kama unavyofikiria...hebu tuleze basi KP alikuwa na maana gani...ukikandia mawazo ya mtu bila kumweleza unakuwa hujasaidia sana....yetu masikio tunasubiria interpretation yako...
ReplyDeleteJamani mbona mambo yapo wapo wazi au nyie mnaishi kashozi??
ReplyDeleteKp kutumia jina la Richard na kusema Richmond ni ya Richard wa big brother amejaribu kuwarahisishia tu kwa sababu hii Kampuni ya Richmond inahushwa sana na Mheshimiwa fulani ambaye ana nyadhifa ya juu sana kwenye hii serikali ya awamu ya nne, na huyu Mheshimiwa ana mtoto wake ambaye anaitwa RICHARD na ndiye inasemekana yeye ndo alikuwa director wa RICHMOND kabla ya kubinafsisha kampuni, sasa msipende kutafuniwa kila kitu, ingieni mtaani muanze kuperuzi wenye huyu mheshimiwa ni nani na kama kweli ana mtoto anaitwa Richard na je ni kweli anahusishwa na kuwa director wa RICHMOND? Mkishapata basi njooni tena tulijadili.
Mungu awabariki na maandalizi mema ya x-mass.
yaani kuna watu kwa kukandia!! utadhani wanalipwa!!
ReplyDeleteyaani hakuna jema kwao.. na wewe unafikiri katuni ikiwa simpo hata raha na ladha inakuwa hamna.
Utamu wa katuni, ikufikirishe japo kidogo. na ndio maana ikaitwa katuni.
mi huyo anony wa dec 5 kaniboa...
haya kama hiyo ya kitoto , tuchoree yako ya KIKUBWA!! mtu mwenyewe hata ukiambiwa kuchora yai tu huwezi!!
KP juu!!! na Michudhi pia juuuuuuu!!! juu zaidi!!
endeleeni kutuelimisha mwayego