ndege ikitua eapoti ya mafia

kunguru wenye tai bado wapo mafia

moja ya majengo ya mafia

mdau gaudioese kamugisha alikuwa mafia hivi karibuni na katuletea snepu hizi ikiwa kama salamu zake za msimu kwa wadau wote popote walipo duniani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. MICHUZIIIIIIIII dah! bongo kweli tambarare!et airport!kwa mtaji huu bongo sirudi endeleeni kula vumbi.

    ReplyDelete
  2. mafia ni wapi...nilizana ni camp za mafia people you know kam colombo na cambodia vile......

    ReplyDelete
  3. Wee Faza usiwe Zoba.Hata huko Ulaya watu walijitoa muhanga katika maisha yao na leo wewe ukaona ukimbilie huko ukawe Mkimbizi wa Kiuchumi.hatukatai Lakini usidharau kwenu rudi kwenu ujenge Nch.Hawa mafisadi hawezi kuondoka wenyewe kwa hiyari yao ni Lazima mbinu nyingine zitumike za Kimapinduzi,kwa maana mpaka sasa Miaka 46 ya uhuru bado nchi maskini lakini Viongozi matajir?Kunani... utawatoa tongotongo wazee mpaka lini?
    Jabir.

    ReplyDelete
  4. Vipi tena yaaani kumeendelea kuna Umeme,Maji na Uwanja wa ndege kweli bongo mambo ni tambarare...

    ReplyDelete
  5. Jamani nilikuwa huko two weeks ago. Ka run-away kana viji pot holes utafikiri njia ya sekenke!!! Lakini jamani wana ka-extend hako, so it is not too bad!!! Michuzi, picha ya waiving bay ya Mafia Airport tunaiomba!!!! It is a standard I have never seen, hata international waiving bay haiingii, unfortunately it was too late for me to take the picha while I was there.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...