Home
Unlabelled
mafia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZIIIIIIIII dah! bongo kweli tambarare!et airport!kwa mtaji huu bongo sirudi endeleeni kula vumbi.
ReplyDeletemafia ni wapi...nilizana ni camp za mafia people you know kam colombo na cambodia vile......
ReplyDeleteWee Faza usiwe Zoba.Hata huko Ulaya watu walijitoa muhanga katika maisha yao na leo wewe ukaona ukimbilie huko ukawe Mkimbizi wa Kiuchumi.hatukatai Lakini usidharau kwenu rudi kwenu ujenge Nch.Hawa mafisadi hawezi kuondoka wenyewe kwa hiyari yao ni Lazima mbinu nyingine zitumike za Kimapinduzi,kwa maana mpaka sasa Miaka 46 ya uhuru bado nchi maskini lakini Viongozi matajir?Kunani... utawatoa tongotongo wazee mpaka lini?
ReplyDeleteJabir.
Vipi tena yaaani kumeendelea kuna Umeme,Maji na Uwanja wa ndege kweli bongo mambo ni tambarare...
ReplyDeleteJamani nilikuwa huko two weeks ago. Ka run-away kana viji pot holes utafikiri njia ya sekenke!!! Lakini jamani wana ka-extend hako, so it is not too bad!!! Michuzi, picha ya waiving bay ya Mafia Airport tunaiomba!!!! It is a standard I have never seen, hata international waiving bay haiingii, unfortunately it was too late for me to take the picha while I was there.
ReplyDelete