maji ya bongo ni malaini sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hizi ndio habari za kutupa na sio kutuonyesha bongo tambarare lakini kuna baadhi ya maeneo yanaachwa nyuma kaka!

    ReplyDelete
  2. MHESHIMIWA ISSA LUGHA YA PICH "SOFT WATER"..HEE

    ReplyDelete
  3. heee, pic hii inanikumbusha mbali sana, enzi hizo shida ya maji na hayo magari tukiyaona tuu tunaanza kukikmbia na kuimba, 'boza la

    maji, boza la maji' saa hizi ataukiniuliza hiyo neno boza maana yake ilikuwa nini sijui, bora tungeimba gari la majix2,

    gari pichani ni la maji taka ee, linafyonza uchafu,

    ReplyDelete
  4. Bongo tambarrrarrrree

    ReplyDelete
  5. maisha ya wala vumbi hayo...poleni sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...