Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh, akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusiana na ripoti ya ukaguzi wa Benki Kuu ofisini kwake jumapili. habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kamba hizo,jamaa anatuyeyusha!

    ReplyDelete
  2. Ina maana hiyo ripoti inahusu akaunti ya madeni ya nje (EPA) tu?

    Ina maana ule ufujaji wa fedha za ujenzi wa majengo utakuwa na ripoti yake separate au hii nayo haikuwa issue sana?

    Mdau mwenye ufahamu juu ya hayo hapo juu anifahamishe tafadhali.

    ReplyDelete
  3. Mi sijaelewa,

    Yaan muda wote huo ndo anaitoa leo???

    washaibadilisha weeee, na kuifanya watakavyo.

    Mi naona hii nchi kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake, na mwenye kisu kikali ndie anaekula nyama nyingi.

    Katika zile kadhaa zilizochotwa, jamaa hapo juu pichani nae ana za kwake kadhaa, hapo wacha kina Massawe wa E&Y waliofanya ukaguzi, nao hawakosi kadhaa.

    Kwanza hata ukimuangalia tu alivyotokea pichan ni na Jinsi macho na mdomo vilivyokaa dhahiri zile ni kamba tu, amekaa ki rushwa rushwa.

    Mi nakuambia hii issue itaishia tu hivi hivi na Mwaka 2010 zinachotwa nyingine kwa ajili uchaguzi. Kwan hosea wa PCCB atafanyaje wakati anaowachunguza ndio maboss wake wanaomuweka mjini?? Hamkuona alivyowafagilia Richmond??

    Tetesi nilizonazo eti kashfa ya majengo ya Twin Tower haitachunguzwa tena kwa kua serikali haina pesa ya kulipia uchunguzi mwengine zaidi ya huu uliofanyika.

    ReplyDelete
  4. Tuambieni nini kilichomo kwenye hiyo ripoti hatutaki ubabaishaji,yeye CAG aiosome ndo ampelekee mh rais kwani yeye ndo aliteua hito tume,nadhani kwa ufinyu wangu wa kuelewa angelipewa Waziri wa Fedha kwasababu CAG alishafanya ukaguzi ndo akaibuka na hayo maloloso,si busara kuchelewesha ripoti nyeti kama hii.
    Afu ni vema tukaambiwa Gavana Balali yuko hapa Marekani anaumwa nini na si mbwembwe tu za kuambiwa ati yuko huku Marekani kwa matibabu,ni aibu nasikia hata ugonjwa anaoumwa haujulikani na hata hospital aliyolazwa haijulikani hapa Boston.Nchi yetu inateketea jamani,mimi niko hapa Boston tangu 1998 naijua sana Boston tuambieni yuko wapi yu hospitali gani twende tukamjulie hali otherwise hii ni danganya toto kakimbia hizo tuhuma!Isije ikawa kesi ya nyani kumpelekea sokwe akaiamulie!

    ReplyDelete
  5. Huyo mkaguzi mwenyewe mwenyeji wa kilimanjaro!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Vituzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...