Waislamu wote mnaalikwa kwenda kusali sala ya IDD AL HAJJ siku ya Jumatano katika jengo la Ravadassia Community Centre, Carlyle Road ( Off Station Road karibu na duka la Saad) Manor Park, London E12.
Sala itaanza saa 3.00 Asubuhi.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na Ally Muhdin namba 07706786069
Ahsanteni na wote Mnakaribishwa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...