Salamu nyingi kwenu,
Mr.Michuzi na wapenzi wote wa blogspot hii. Salamu za X-mas kutoka hapa Cesena-Italy, tunawasalimu sana na kuwatakieni heri nyingi za sikukuu hii, ni sisi marafiki Baraka, Filippo na Gloria. Salamu hizi ziwafikieni huko kwetu Bongo na sehemu zote.Sikukuu njema na yenye utulivu.
UJUMBE: Tusherekee vizuri pamoja! Salamu sana sanaaaa....Tanzania!!!!

Brother Baraka si unaona kuwa mola ni mkuu wa mataifa yote?angalau hajakuacha ukasheherekea x-mass peke yako kakupa watishi ujisikie nyumbani,heri za krisimasi na mwaka mpya,ciao,ciao.
ReplyDeleteBrother Baraka si unaona kuwa mola ni mkuu wa mataifa yote?angalau hajakuacha ukasheherekea x-mass peke yako kakupa watishi ujisikie nyumbani,heri za krisimasi na mwaka mpya,ciao,ciao.
ReplyDelete