Habari kwa wadau wote wa Blog hii. Mimi mdau wa Lipokela, Songea, nawatakia heri ya Noël na furaha ya Mwaka Mpya 2008 wadau wote. Pia nawapongeza wapenzi wa Real Madrid kwa ushindi mnono usiku wa leo pale Nou Camp baada ya kuwatungua Barca, Hala Madrid.ni mimi mdau Tengeneza
"Be Strong and of Good Courage"


Penye haba bwana wewe
ReplyDeletebombii hii nyumbi hii
unanikumbusha sana songea.pale bomba mbili.Mery Christmas.