timu ya taifa ya wanawake twiga staaz leo imeibenjua eritre bao 1-0 uwanja wa neshno katika kusaka tiketi ya kucheza ubingwa wa wanawake barani afrika. mwapewa mtumwa alipiga shuti la mita 25 dakika chache kabla ya mapumziko. sasa watapambana na cameroun katika mchezo unaofuata wiki ya pili ya mwezi wa februari mwakani . tukiiondoa cameroun tunatinga fainali
Home
Unlabelled
twiga staaz yapasua anga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mlizidi kuosha vinywa.Ohh Bwawa la maini, ohh Torres!! leo bwawa la maini limegeuka bwawa la mawashiwashi.Wacheni mdomo nyie bado cha mtoto kwa Man.Zifungeni hivyo vitimu saizi yenu.Na bado mtakuja Old Trafford tuwachape tena.
ReplyDeleteKwa Man Liverpool ni kama kumsukuma mlevi.Michuzi weka picha basi.Au bwawa la maini likiloa basi unateremsha bendera nusu mlingoti??Nyie bado sana wacheni kutamba mnapofunga vitimu dhaifu.
ReplyDeleteAnfield ni home ground yetu ya pili sisi Man united.Liverpool watachacharika lakini kamba ni yao tu.
ReplyDeleteMichu umesahau kwamba mtoto yake ni nepi siku zote?. Ulikuwa unaifananisha Man U na Marseille, hembu pitia French Ligue 1 uone wako nafasi ya ngapi. Nyie hata tuchezee wapi siku zote ni wetu huwa hatuwapigi nyingi sana kamoja tu kanatosha kuwapa maumivu. Kimyaaaaaaa! Bwawa la maini limekauka ghafla. Pole ila next time usichonge kihiiiiiivyo!!
ReplyDelete