wadau msione kimya. niko ukweni kula krisimasi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. mbona mapema!! unawatia hasara wakwe hivyo, umewahi sana. lakini unaonekana kama upo hotel fulani, mmmhh, sidhani ni ukweni, pengine small house hahahah

    ReplyDelete
  2. Michuzi mbona mapema? wakwe watakuchoka

    ReplyDelete
  3. kaka kama umelogwa kila siku ukweni mbona kwenu uendi kulikoni?mwaka huu peke yake nimala ya tatu sasa na mwisho ulibeba mpaka shemeji yako sasa tunataka uende na kwenu kaka.

    ReplyDelete
  4. Nilishtukia dili hili mapemaaa.. maana si kawaida blog ilikuwa imeganda toka jana na si kawaida yako.. hasa nilifikiri umekwenda na JK na sasa umetoa siri.. Haya Masimasi njema ukweni.. (dRU)

    ReplyDelete
  5. Nakumbuka juzi-juzi ulikuwa huko ukatuletea picha za Kampala na sasa hata miezi 5 haijapita uko huko tena! Au una wake kibao inabidi usawazishe kila unalomfanyia mmojawapo?

    Je mkeo ameshaenda kwa wazazi wako (wakweze) mara ngapi mwaka huu au tangu umwoe?

    Au umekimbia kipigo cha Man Utd - ili ukiwa kimya tujue hauko mtandaoni? Naona umezikimbia mvua za Man U wewe acha janja!

    Ila mkubushe mkeo kuwatembelea ndugu zako!

    ReplyDelete
  6. KWELI LAKINI AKILI ZA WANAUME WENZETU EHEE YAANI MTU ANAPATA HOLIDAY UKWENI SIKUKUU ZOTE UKWENI IDD SIJUI BUSY NA NDUGU WA MKE SASA LINI UNAPATA MUDA NA FAMILIA YAKO JAMANI INABIDI UGAWE KIDUNCHU MAONI TU USINIMIND KAKA MICHUZI ILA NI MUHUMU KUJALI PANDE ZOTE MBILI KUTWA KWENYE NDEGE NA NDUGU WA MKEO WEWE UNANDUGU TENA NAUWAKIKA UKIWAPANDISHA NDEGE UTAWAFURAHISHA KWELI KWELI

    ReplyDelete
  7. Michu!
    Lilian Abel Miss TZ 2 mwaka huu 2007 nasikia anakula maraha na Rais Kabila wa DRC, ebu tumia vyanzo vyako vya habari kucomfirm habari hii.

    ReplyDelete
  8. Sasa wakwezo wako wapi au ulitoka kidogo kwenda kupiga picha kwenye hiyo hotel?

    ReplyDelete
  9. mmh Michu ukweni kuzuri hivyo,kweli we mjanja, ndo mana ukaamua uoe Uganda tena mjini mjini upate makaratasi ya Uganda pia, mana ungeoa kwetu bongo tena vijijini kule looh wakwe ndo wangekuwa wnaakutegemea wewe....Hongera kaka, akili mukichwa..

    ReplyDelete
  10. mhh michuzi kwa kujidai jamani!! ohhh just kidding! well naona bangalow limetulia hapo kama sio mansion,lol, haya michuzi, enjoy yourself,

    nakutakia xmas njema, heri na fanaka kwa mwaka mpya 2008, mungu atubariki na

    wapendwa WATANZANIA wote, xmas njema na heri ya mwaka mpya 2008, amani/umoja na mshikamano kama kazi tuendeleze libeneke,wenye wivu wajinyonge washindwe na walegee.

    ReplyDelete
  11. mmh Mzee, hiyo nyumba tambarare kweli kweli.

    ReplyDelete
  12. halloo mwenzangu wa bwawa la maini, inakuwaje/.. jpili lazima tuwakandamize wale....ebwana hilo banda liko bongo au/.

    ReplyDelete
  13. Kama sijakosea hiyo ni moja kati ya zile nyumba za serikali zilizo uzwa bei chee au unasemaje mdau?

    ReplyDelete
  14. Michuzi unanimaliza. Nimeijua blog yako mwaka huu lakini toka niiingie humu naona umeshapata likizo zaidi ya miezi miwili sasa. Tarehe 15 mmeshaanza kusherekea Chrisstmas...kweli bongo tambarare

    ReplyDelete
  15. Hi jamani nimependa madhari sana,hebu naomba niulize hivi mai waifu wako hana mdogo wake ambaye kafikia umri wa kuolewa,manake ni muda wa kufaidi hizo mali na sisi,tehe tehe teheeee!!!!

    ReplyDelete
  16. Aaah, bora wewe Misupu umejipatia papers za karibu, hata pakibumburuka unaweza hata tembea kwa miguu, si unajua tena "Too much cultural adjustiment lol", Mi nilishindwaga!
    Endeleza libeneka Baba, Mwenzetu umeamua kudumisha muungano (EAC), kwa vitendo, saafi sana kweli wewe kioo cha jamii.
    So, pale kwenye kugomba hati ya kusafiria sababu unaandika "KETEMBELEA UKWENI", Duh, kaazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  17. Duh, Kweli ukweni noma, inabidi uishi kama sio wewe vile, ujivike ngozi ingine.
    Michuzi kila tukichungulia site, haina comment zozote, najua sio kwamba wadau hawazitoi, ija UMEBANWA, hahahahaha. Shemeji anafaidi kipindi hiki duh.
    Haya bwana tukusanyie habarizzzzz,

    ReplyDelete
  18. Michuzi acha kuzingua watu unajifanya wakwe na wife wako umeotea kumbe umepiga picha ktk hotel pemba!

    ReplyDelete
  19. poa kaka michu angalia..wanakutega hao behave urself usije ukanyanganywa mchumba.mdau Holland

    ReplyDelete
  20. Siyo bure ulimkimbilia huyo mwanamke. Huko Ukweni kwenu tambarare siyo? Sikulaumu bwana..Mafao ni muhimu...!! Unaangalia unafaidi nini kabla hujaoa..sikulaumu bwana...huko kwenu njombe ungeona nyumba kama hiyo? I like you Michuzi...!!

    ReplyDelete
  21. Inaonyesha tumeamia, hapa hatupati updates mpaka mwaka kesho. Kura raha ndugu, itabidi tuvumilie tu. Heri ya X-mas na mwaka mpya.

    ReplyDelete
  22. ISSA ASLAM ALEIKUM, MZEE UNAKULA CHRIST/MASS HONGERA SANA, HIJA WEWE UTAENDA LINI ?

    ReplyDelete
  23. weeeemichuzi acha ujinga kila siku kwa wakwe tuu kwenu huendii nyie ndio wale wale tu

    ReplyDelete
  24. Michu ukweni kuna kimeo cha mtandao??? Maana tangu hii safari yako huko, blogu yetu inadata.. mabadiliko yanachukua muda na si kawaida yake... Hebu tupashe!!!
    Very concerned mdau (dRU)

    ReplyDelete
  25. Kaka hapa sio kwa watani wetu wa jadi? naona huo ukoka umestawi sana lakini kwenye picha mbona kama sio wewe?

    ReplyDelete
  26. mhuu michuzi yaelekea wewe unapenda sana slope angalia mjini hapa!!! pengine hata huyo mkeo sio mapenzi ni kwa kuwa kwao matawi ya juu , maana kila siku ukweni ukweni , mbona kwenu hutuonyeshi? au huendi?hata kama kwenu kubaya nenda kale xmas na mababu zako kijana ndo kulikokulea.
    naomba kuwakilisha! ni mtazamo wangu tu.

    ReplyDelete
  27. Mheshimiwa kama unakumbuka awali uliwahi kua Uganda ukasema uko kwa wakwe, na sasa uko uchagani unasema uko kwa wakwe..

    Mzee una majiko mawili nini ?

    By Mchangiaji.

    ReplyDelete
  28. Bwawa ya maini hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Aaa nimesahau ni ile ingine.

    Man u?! sijui ndo hifyoooo.....? hapana ngoja niulise. Eroo Mishu nani imeshinda mwensake?

    ReplyDelete
  29. wako wapi mnowapenda?
    torees hakuwapo ,gerad je?
    pole sana mzee wa bwawa la maini
    inasikitisha ndo ukubwa huo.

    teveeeeeeeeeeezzzzzzzzz!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  30. MBONA HIYO NYUMBA INAFANANA NA YA MHE. MMOJA KATIKA WALE WANAOPAA KWENDA NJE WAKIWA NA MIHULI MFUKONI! NDIO MAANA UMEWAHI SANA KWENDA KULA XMAS. ANGALIA USKAE SANA UKAJAPEWA MASHINE YA KUFYEKA NYASI KWENYE HOU UWANJA.

    ReplyDelete
  31. bro. sasa hilo ni lishuntama sasa, wewe wenzio wanaenda kuhiji makka we unazuka ukweni? yuhuuuuuu.
    ah! lakini sikulaumu ukweni ni kujimwaga kwa nafas sasa meka mbanaaaano.idd njema kaka na makamasi njema weweeeee vituu vituu apo apo kamata chini kamata juu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...