vingunge wote walihudhuria sherehe za kuhitimisha miaka 46 ya uhuru leo uwanja wa jamhuri dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani it's nice to see Mzee wa RUHUSA.

    ReplyDelete
  2. Wapi kingunge Ben???

    ReplyDelete
  3. Nimejisikia burudani kumuona mzee wetu wa rukhsa,ndie mzee aliyetufanya wengine tupo huku ughaibuni.Mzee wa watu hana roho mbaya.Mwenyezi Mungu amjalie maisha marefu na amani."The best president ever Tanzania have seen ".Alijali wananchi wake na alijituma kwelikweli.

    ReplyDelete
  4. Kingunge, Ben wanini hapo waungwana watupu wamekaa anaona aibu akiingia uwanjani hapewi hi,,akiingia mzee ruksa uwanja mzima unawaka moto hii ni mpaka kesho bado anachati,hao jamaa wametulostisha sana, Mzee ruksa mwacheni apumzike mzee wa watu hana matatizo labda ya kutungiwa enzi zake tulikuwa happy kila wakati Mzee MWINYI alikuwa KIONGOZI, MKAPA alikuwa MTAWALA utaona tofauti ya kiongozi na mtawala ikoje jibu mnalo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...