nawatakia heri ya krisimasi na mwaka mpya wadau wote wa zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tunakushukuru Kaka Michuzi kwa wema wako, Mungu akujalie kheri.

    ReplyDelete
  2. Ahsante kwa kwa kutujali watanzania kwa kutupatia habari moto moto. Tunakushukuru na Mungu akujaalie kila la kheri. Sikukuu njema na wewe.

    ReplyDelete
  3. nawe pia pole na mihangaiko ya kunusanusa habari na kuruhabarisha ila nakuongezea kazi wasalimie na wale wanosali x-mas hadi x-mas.

    ReplyDelete
  4. hii picha jamani...ni ya enzi za wadachi au vipi???...

    ReplyDelete
  5. wanaosali x-mas hadi x-mas ndio wanaobarikiwa zaidi poleni wa kila siku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...