Home
Unlabelled
zongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona amenenepa hivi?
ReplyDeleteMichudhi mbona umemwita huyo mdada mwanamama? Kwani amezeeka kiasi cha kustahili kuitwa hivyo?
ReplyDeleteKanenepa sana na hili joto la bongo sijui kavaa WINTER BOOTS
ReplyDeleteUnashangaa kunenepa kwa zongo ehee bongo mambo mengine bwana kuendeleza mlo hata kamaulikuwa mwembambsa kama sindano utanenepa tu
ReplyDeletemsimseme dada wa watu, nafikiri baada ya uzazi ndio kashindwa kuurudisha mwili wake kama zamani. Kama mwenyewe amejiaccept jinsi alivyo nyie tatiso ni nini mangi?
ReplyDeleteAAITHEE Michudhi hebu mwambie huyo mwanadada athivae hivyo tena hatujapendedhewa hata kadori thithi ni baba dhake tunathema hivi ametuaibisha sana
ReplyDeleteavachee
Michuzi unakelele sana , lakini ukweli ni kwamba wakati mwingine unadhalilisha Tz na watu wake.
ReplyDeletePicha kama hii haina haja ya kuiweka humu,
... Bibie amevaa winter boots !!!!!! ....si kudhalilishana huku ?? halafu utuambie Bongo mambo tamabarare !
Mwacheni bwana! mbona Ray C anapiga boots hizo kila siku. Kama ziko comfortable kwake basi mbele kwa mbele
ReplyDeleteKuna ki-habari kidogo pale www.swahiliremix.com kuhusu huyu dada!
Na nyie wabeba box mmeanza kelele zenu mara sijui buti za winter mara sijui nini mwenyewe karidhika na ameona amependeza sasa nyie nini tatizo? yaan kukaa kwenu huku mkibeba hayo mabox mkajua buti za winter basi ina kuwa tabu tumewachoka sana na makelele yenu
ReplyDeletekama umechoka kapumzike, kma unausingizi kalale. Acha watu wtoe maoni yao, kitu gani kinachikufanya udhani maoni hayo yemetoka nje ya Bongo . Au unadhani walio Bongo wapoote hawajui mavazi na hali za hewa husika ???
ReplyDeleteJAMANI PUNGUZENI KIDOGO MBONA HIZO WINTER SHOES MIE SIJAZIONA. AU NDIO WINTER SHOES ZA KIMARA
ReplyDeleteHizo buti sio za winter niwashushue,hazina manyoya,mumkome dada wa watu.Hana unene wowote wa kutisha msimbeze,akiwa kaonda mtasema mgonjwa,komeni.Fasheni hamzijuwi nyamazeni.Ndio kachapi vitu fulani lakini buti zake ni fasheni hata nchi za joto unaweza kuvaa ila tu asingevaa kijaketi cha uleza na tisheti ya kubana,angevaa tisheti loose nyeupe na angeondoa kofia.From beijing the fashion city she is almost right.
ReplyDelete