mwigizaji nguli wa michezo ya tv maarufu kama bishanga bashaija bado yupo fiti na infwakti nilipokutana naye leo kanidokeza kwamba karibuni atarejea ulingoni kwa staili ingine. hakufafanua ila nasikia ana mipango ya kuanzisha tok shoo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Haaa poa sana umenikumbusha vituko vya uyo jamaa infkakti nitafulai sana kuona anarudi ulingoni

    ReplyDelete
  2. anyway infwakiti bwana tunakumbuka enzi zake.if he is willingi,ofukozi tutamuunga mkono.alikuwa anatupa uhondo muno.

    ReplyDelete
  3. Mwana wa mawe Bishanga!
    Ivi urikuwa wapi? Tutafulai ukiludi na kutupa laa kama zamani

    ReplyDelete
  4. hahaha, ananikumbusha alivyolala na yule msichana aliyempeleka kumtambulisha kwao wakati gf wake alivyokuwa masomoni ulaya, bahati nzuri akampiga mimba. Kasheshe yake ni raha tupu.

    ReplyDelete
  5. ndaga nkamu,in fwakti akchuari tuna kuweiti, mmogege mkibege,tukupya tolo m'mbwani muno!

    ReplyDelete
  6. Actuary, jamaa hawa warikuwa very intertainingi and sofisticated. Haroo, nina swali? hivi hawa jamaa wana record zozote za maigizo yao yooote? DVDs, VHS etc. Infact ningependa kuzipurchase ooru of zemu. Maigizo yao yarinikoshaga sana prep yangu jioni pare UDSM miaka ya 1999-2000. Let us know through this blog-anybody please.

    ReplyDelete
  7. ish..mbona unafanana na michuzi? ukitia tai ya bluu hapo, afu ukaondoa miwani utafanana kabsaa na ile picha kulia hapo juu!! au wengine mnasemaje?

    ReplyDelete
  8. Bishanga/Raymond
    Hebu tupe email yako au # ya simu tukutafute ulipotelea wapi?
    Salaam kwa wazee wote wa Check Point aa nasikia imekufa basi wasalimia wa Corner Bar Bila kumsahau Mwanamaji

    ReplyDelete
  9. Mie sikubali kama kafanana na michuzi mpaka michuzi nae anyoe upara tumuone anakaaje akiwa na upara..HAHAHA!

    ReplyDelete
  10. Labda mashati tu ndo yafanana,

    Mngeniambia labda kidogo michuzi anafanana na Haji Manara ningekubali angalau

    ReplyDelete
  11. Labda mashati tu ndo yafanana,

    Mngeniambia labda kidogo michuzi anafanana na Haji Manara ningekubali angalau

    ReplyDelete
  12. endelea kuwakilisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...