Home
         Unlabelled
      
bishanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
 MichuziBlogV2
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haaa poa sana umenikumbusha vituko vya uyo jamaa infkakti nitafulai sana kuona anarudi ulingoni
ReplyDeleteanyway infwakiti bwana tunakumbuka enzi zake.if he is willingi,ofukozi tutamuunga mkono.alikuwa anatupa uhondo muno.
ReplyDeleteMwana wa mawe Bishanga!
ReplyDeleteIvi urikuwa wapi? Tutafulai ukiludi na kutupa laa kama zamani
hahaha, ananikumbusha alivyolala na yule msichana aliyempeleka kumtambulisha kwao wakati gf wake alivyokuwa masomoni ulaya, bahati nzuri akampiga mimba. Kasheshe yake ni raha tupu.
ReplyDeletendaga nkamu,in fwakti akchuari tuna kuweiti, mmogege mkibege,tukupya tolo m'mbwani muno!
ReplyDeleteActuary, jamaa hawa warikuwa very intertainingi and sofisticated. Haroo, nina swali? hivi hawa jamaa wana record zozote za maigizo yao yooote? DVDs, VHS etc. Infact ningependa kuzipurchase ooru of zemu. Maigizo yao yarinikoshaga sana prep yangu jioni pare UDSM miaka ya 1999-2000. Let us know through this blog-anybody please.
ReplyDeleteish..mbona unafanana na michuzi? ukitia tai ya bluu hapo, afu ukaondoa miwani utafanana kabsaa na ile picha kulia hapo juu!! au wengine mnasemaje?
ReplyDeleteBishanga/Raymond
ReplyDeleteHebu tupe email yako au # ya simu tukutafute ulipotelea wapi?
Salaam kwa wazee wote wa Check Point aa nasikia imekufa basi wasalimia wa Corner Bar Bila kumsahau Mwanamaji
Mie sikubali kama kafanana na michuzi mpaka michuzi nae anyoe upara tumuone anakaaje akiwa na upara..HAHAHA!
ReplyDeleteLabda mashati tu ndo yafanana,
ReplyDeleteMngeniambia labda kidogo michuzi anafanana na Haji Manara ningekubali angalau
Labda mashati tu ndo yafanana,
ReplyDeleteMngeniambia labda kidogo michuzi anafanana na Haji Manara ningekubali angalau
endelea kuwakilisha
ReplyDelete