mdau akimwagilia bustani leo jioni sehemu za sea view. wakazi wengi wa jiji hivi sasa wana vijibutani mbele ya nyumba zao zinazotoa madhari nzuri kama hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, 'An artful bird can be trapped in a rotten cage.'Hii ndio story yetu wazalendo...zamani tulikuwa na picha za vizungu uchi vikituvutia na kutunasa na tabia hilo ovu na sasa zimebadiliwa na mbongo...lakini message ni ile ile...'Bilisi wa mtu ni mtu.The evil spirit of a man is a man.'regardless of the colour!!!

    ReplyDelete
  2. Duniani kote sasa kuna kampeni ya kupinga matangazo ya sigara kama hayo ambayo kwa kiasi kikubwa yanahalalisha matumizi ya sigara na pia ku-influence watoto kuanza kuvuta sigara. Nashangaa bongo ndo kwanza tunazidisha mabango hayo kila kona, na nasikia mengine yana picha za watoto...

    smoking na hata secondhand smoke ina madhara makubwa na inaua...!

    ReplyDelete
  3. Bro Michu, hapo tumekupata.... ina maana hata sheria za kutangaza sigara (kupigwa marufuku) ilikuwa ni nguvu ya soda??? kaazi kweli kweli

    ReplyDelete
  4. Michuzi watangazie wavuta sigereti hiyo picha. maana mimi sioni mdau anayemwagilia, naona kivuli tu. ungemzumu vizuri basi, au kamera yako kimeo haina zoom? niatashangaa sana ikiwa niwewe umechukua picha hiyo ukitumbia mdau anamwagilia wakati maju hayaonekani. hivi lile tatizo la maji limekwisha mpaka yanapatikana yakumwagia busitani? mimi sijui hayo maji nayasikia katika vyombo vya habari! kama kawa bongo ni visima. sea view huko hakuna visima.

    ReplyDelete
  5. Mmh Kaka Michuzi unatuonyesha bustani au unatangaza sigara ya Embassy????/

    ReplyDelete
  6. hilo tangazo la sigara vipi tena ??yaani ndio kitu cha kusifiwa hicho au ??msemakweli

    ReplyDelete
  7. imefika hatua sasa ujenzi wa hiyo miukuta ya kuzunguka nyumba ipigwe marufuku,ni uchafu wa hali ya juu wanachotakiwa ni kupima viwanja vizuri ili watu wasibanane sana mpaka wakaona hawako salama

    ReplyDelete
  8. Nigeria government is suing the Tobacco Company for Bilions of Dollars for exploiting and encouraging young people to smoke, which caused hundred and thousands of people being affected by Cancer. FACTS.

    Who insane mind suggested that, smoking cigarettes ndio MAISHA. Smoking advertisement banned in UK, and they are facing a real battle in AMERICA and EUROPE, and now they are targeting AFRICA. What a shame, all in the name of PROFIT..

    They are shamelessly trying to portray as being a smoker is COOL, and subsequently having a successful life. PICTURE speak more than thousand words.

    By Mchangiaji

    ReplyDelete
  9. nyinyi ma-anon mliopita hapo juu inaonesha michuzi hamkumuelewa. michuci anataka kufikisha ujumbe kuwa matangazo makubwa ya sigara yameenea tz. sio mtu anayemwagilia bustani. huyo mtu ni changa la macho tu. lengo ni kufikisha ujumbe kuwa jamii ya kizazi kijacho cha tz tutegemee wengi kuwa na maradhi ya kansa kwa kuvuta sigara. kwa kuwa hao waanotangaza wanalipia na wana leseni michuzi kwa kuliona hilo ndio akatumia ujanja huo.

    kwa sisi tulioenda shule tumemuelewa. sio kama kamera yake hai-zoom au ni kimeo kama mdau mmoja alivyofikiria.

    michuzi ujumbe umefika baba.

    ReplyDelete
  10. NA KWELI UKO SEA VIEW HAMNA VISIMA SIJUI WANAPATAJE MAJI YA KUOGA..AU LABDA WANAVYO UNDERGROUND..NA KWELI KUNAYOBAKI KWA AJILI YA KUNYESHEA!!!!

    ReplyDelete
  11. Sisi tusio ishi TZ inasikitisha kujua kwamba nchi yetu ina embrace uvutaji wa sigara kwasababu uingereza imezama kwa sigara. Wake,waume watoto wa shule wote imekua ni lifestyle,wana elimishwa na mifano wanayo kwenye adverts lakini wana turn a blind eye.Sigara na pombe imekua ni tatizo kubwa,na kama TZ inaona ndio ya kuiga basi tumekwisha.

    ReplyDelete
  12. SMOKE FREE ILLINOIS

    Effective January 1, 2008, the Smoke-free Illinois Act prohibits smoking in virtually all public places and workplaces, including offices, theaters, museums, libraries, educational institutions, schools, commercial establishments, enclosed shopping centers and retail stores, restaurants, bars, private clubs and gaming facilities.

    Illinois joins 22 other states that have taken this important step to protect its residents, workers and visitors from the harmful and hazardous effects of secondhand smoke.

    Secondhand smoke is a mixture of the smoke given off by the burning end of tobacco products and the smoke exhaled from the lungs by smokers that contains a complex mixture of chemicals, many of which are known to cause cancer.

    In a 2006 report by the U.S. Surgeon General, it was estimated that exposure to secondhand smoke kills at least 65,000 people a year in the United States who do not smoke, including 2,900 in Illinois. Inhaling secondhand smoke causes lung cancer and coronary heart disease in healthy nonsmoking adults and increases the risk of serious respiratory problems in children, such as a greater number and severity of asthma attacks and lower respiratory tract infections.

    There is no protection afforded by separating smokers from non-smokers within the same enclosed environment, and ventilation systems and air cleaners are not effective at eliminating secondhand smoke. The only effective means of protecting people from secondhand smoke is to eliminate smoking indoors, which this law does in regards to public places.

    The Smoke-free Illinois Web site is designed to provide a variety of informational resources. I encourage you to read the information contained here to become more informed about the Smoke-free Illinois law, to access information about secondhand smoke, to seek assistance to quit smoking or to lodge a complaint about a possible violation.

    Sincerely,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...