
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Muheza Mkoa Tanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa jitegemee wilayani humo jana. Dk. Shein yupo Mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya siku nane ya kukagua na kuangalia miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Mkoa huo
nimefurahi kuona home, hehehe, home zi home, waja leo waondoka leo! jamani watanga mpo!!!
ReplyDeleteKipo mbwiyangu wagaze mwenetu hangi Mgosingwa/mvelengwa wa bonde?hambwe wa mashewa,mi nkagamba Nkologwe kwa samangube? Mkasinyaa!
ReplyDeleteHAPA MKAPA ALILAMBA DUME. WATU WALISHANGAA SANA WAKATI WA MAZISHI YA ALIYEMTANGULIA NYUMBA YA KAWAIDA KAMA YA VIBARUA WA VIWANDANI WA WACHACHARIKAJI WA MTAANI.HAWA NDIO WAZEE WA LOW PROFILE. WANAFAHAMU FIKA KIPI KINATOSHA KATIKA MAISHA HAYA YA MWILI.KIPI KINATOSHA KWA MAISHA YA KIROHO
ReplyDelete