Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Muheza Mkoa Tanga katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa jitegemee wilayani humo jana. Dk. Shein yupo Mkoani Tanga kwa ajili ya ziara ya siku nane ya kukagua na kuangalia miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Mkoa huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nimefurahi kuona home, hehehe, home zi home, waja leo waondoka leo! jamani watanga mpo!!!

    ReplyDelete
  2. Kipo mbwiyangu wagaze mwenetu hangi Mgosingwa/mvelengwa wa bonde?hambwe wa mashewa,mi nkagamba Nkologwe kwa samangube? Mkasinyaa!

    ReplyDelete
  3. HAPA MKAPA ALILAMBA DUME. WATU WALISHANGAA SANA WAKATI WA MAZISHI YA ALIYEMTANGULIA NYUMBA YA KAWAIDA KAMA YA VIBARUA WA VIWANDANI WA WACHACHARIKAJI WA MTAANI.HAWA NDIO WAZEE WA LOW PROFILE. WANAFAHAMU FIKA KIPI KINATOSHA KATIKA MAISHA HAYA YA MWILI.KIPI KINATOSHA KWA MAISHA YA KIROHO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...